State House Blog

Kuapishwa Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Ikulu Chamwino Dodoma

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husseinn Ali Mwinyi akiwa na Viongozi wakuu (kushoto kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango, na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, wakiwa wamesimama wakipiga makofi baada ya kumaliza kuhutubia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwake) Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Philip Isdor Mpango na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Job Ndugai na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Hamis Juma, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika viwanja vya Ikulu Chamwino
  • BAADHI ya Mawaziri na Wabunge wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Rais wa Tanzania katika viwanja vya Ikulu Chamwino mjini Dodoma
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Philip Isdor Mpango, iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino mjini Dodoma
  • MAKAMU wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango akizungumza baada ya kumaliza kula kiapo cha kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania,hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu mjini Chamwino Dodoma