State House Blog

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongzozi wa CCM Mkoa wa Mjini Unguja.

  • MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Mjini Kichama wakati wa ziara yake kutowa shukrani zake kwa Viongozi hao, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa CCM Mkoa Amaan Jijini Zanzibar.

  • MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Mjini Kichama wakati wa ziara yake kutowa shukrani zake kwa Viongozi hao, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa CCM Mkoa Amaan Jijini Zanzibar

  • NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Sadala(Mabodi) akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kumkaribisha Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi. kuzungumza na Viongozi na Mabalozi wa CCM wa Mkoa wa Mjini Kichama,akiwa katika ziara yake.
  • VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi wakifuatilia hutuba ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Viongozi na Mabalozi wa CCM wa Mkoa wa Mjini CCM Kichama,katika ukumbi wa CCM Mkoa Amaan Jijini Zanzibar.
  • WAZEE wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama wakimsikiliza Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)akizungumza na kuwashukuru Viongozi wa CCM na Mabalozi wa CCM wa Mkoa wa Mjini Kichama akiwa katika ziara yake kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Kichama.
  • MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,akikabidhiwa Risala ya Wanachama wa CCM wa Mkoa wa Mjini Kichana na Katibu wa CCM Nkoa wa Mjini Chima Ndg. Abdalla Mwinyi Hassan, akiwa katika ziara yake ya Kichama.