State House Blog

Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais Wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amezungumza na waheshimiwa Mabalozi Wanawake wa Tanzania.

  • MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi Wanawake wa Tanzania wanaowakilisha Tanzania Nchi za Nje, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi za Zanzibar Maisha Bora Foundation Migombani Jijini Zanzibar.
  • MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na kubadilishana mawazo na Waheshimiwa Mabalozi wa Tanzania, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi za Taasisi hiyo migombani Jijini Zanzibar.
  • AMIDI Mkuu wa Mabalozi wa Tanzania Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro akizungumza wakati wa mkutano wao na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, uliofanyika katika Ofisi za Taasisi hiyo iliyoko migombani Jijini Zanzibar.
  • MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, akizungumza na Waheshimiwa Mabalozi Wanawake wa Tanzania wanaowakilisha Tanzania Nchi za Nje,walipofika Ofisi za (ZMBF) migombani Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kupata maelezo ya shughuli zinazofanya na Taasisi hiyo.