State House Blog

Rais Dk. Mwinyi amekutana na Uongozi wa Chelsea.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea fulana la Timu ya Chelsea ya England kutoka kwa Mkuu wa Masoko na Mauzo Ndg.Banes Hampel,wakati Ujumbe wa Timu hiyo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiagana na Mkuu wa Masoko na Mauzo Ndg.Banes Hampel, Timu ya Chelsea ya England baada ya Mazungumzo akiwa na ujumbe wake wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Timu ya Chelsea ya England (kushoto) wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana leo ambapo wamegusia kuitangaza Zanzibar katika sekta ya Utalii na kuanzisha Vyuo vya Mpira wa Miguu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Ujumbe wa Timu ya Chelsea ya England (kushoto) wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana leo, ambapo wamegusia kuitangaza Zanzibar katika sekta ya Utalii na kuanzisha Vyuo vya Mpira wa Miguu