State House Blog

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN MWINYI AFUNGUA MSIKITI WA MASJID HUSSEIN GHANA NA KUJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA SALA YA IJUMAA

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika viwanja vya Masjid Hussein Ghana Kichakani Wilaya ya Kati Unguja kwa ajili ya ufunguzi wa Msikiti na kujumuika na Wananchi katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo baada ya kuufungua leo 18-11-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kuufungua Msikiti wa Masjid Hussein Ghana Kichakani Wilaya ya Kati Unguja, na kujumuika na Wananchi wa Kijiji hicho katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo leo 18-11-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Hussein Ghana Kichakani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 18-11-2022
  • WANANCHI wa Kijiji cha Ghana Wilaya ya Kati Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Hussein, baada ya kuufungua leo 18-11-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika viwanja vya Masjid Hussein Ghana Kichakani Wilaya ya Kati Unguja kwa ajili ya ufunguzi wa Msikiti na kujumuika na Wananchi katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo baada ya kuufungua leo 18-11-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Ghana Wilaya ya Kati Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti wa Masjid Hussein Ghana Kichakani, baada ya kuufungua leo 18-11-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuasiria kuweka jiwe la msingi la Ufunguzi wa Masjid Hussein Ghana Kichakani Wilaya ya Kati Unguja leo 18-11-2022, na kujumuika na Wananchi wa Ghana katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo.