State House Blog

Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi katembelea Mradi wa Huduma za jamii mijini Zusp Zanzibar

  • MKAAZI wa Kwarara Ndg. Salum Said Salum akitowa kero yake kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Husseinn Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa ziara yake kutembelea eneo hilo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mratibu wa Mradi wa (ZUSP) Ndg. Makame Ali Makame akitowa maelezo ya utekelezaji wa Mradi huo wa ujenzi wa Jaa la Kisasa linalojengwa katika eneo la Kibeli Wilaya ya Kati Unguja akiwa katika ziara yake kutembelea Mradi huo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Maryam Mwinyi wakimsikiliza Mshauri Elekezi wa Mradi wac Ujenzi wa Jaa la Kisasa linalojengwa katika eneo la Kibeni Ndg. David Masawe akitowa maelezo kuhusiana na ujenzi wa Mradi huo wa (ZUSP) wa Jaa wakati wa ziara yake katika eneo hilo huko Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea eneo la Ujenzi wa Mradi wa Jaa la Kisasa linalojengwa Kibeli chini ya Mradi wa Huduma za Jamii Mijini (ZUSP) akimsikiliza Meneja Mradi wa Jaa Kibeli Ndg. Makame Ali (kushoto kwa Rais) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidu Rashid na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, wakitembelea eneo hilo wakati wa ziara yake kutembelea Miradi ya (ZUSP ) Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara yake kutembelea Mradi wa Huduma za Jamii Mijini (ZUSP) kuangalia utendaji wa Mradi huo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea eneo la Ujenzi wa Mradi wa Jaa la Kisasa linalojengwa Kibeli chini ya Mradi wa Huduma za Jamii Mijini (ZUSP) akimsikiliza Meneja Mradi wa Jaa Kibeli Ndg. Makame Ali (kushoto kwa Rais) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidu Rashid na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, wakitembelea eneo hilo wakati wa ziara yake kutembelea Miradi ya (ZUSP ) Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara yake kutembelea Mradi wa Huduma za Jamii Mijini (ZUSP) kuangalia utendaji wa Mradi huo wa ujenzi wa mitaro ya kupitishia maji machafu na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawailiano na Uchukuzi Zanzibar Ndg.Mustafa Aboud Jumbe wakati wa ziara yake kutembelea Mradi wa Huduma za Jamii Mijini katika eneo la Kiembesamaki kuangalia ujenzi wa mitaro wa maji katika barabara hiyo na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjinui Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustaf