State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk Husseina Ali Mwinyi amehudhuria kikao cha Kamati Kuu ya Ccm na kusaini kitabu cha maombolezi Afisi za CCM Lumumba

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha maombolezi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufu, aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alipowasili katika Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr, Abdalla Juma Sadala Mabodi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara. Ndg. Rodrick Mpogoro, alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashuri Kuu ya CCM Taifa