State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amehutubia maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wake katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwa katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba, akihudhuria Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wake na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kasakazini Pemba Mhe. Salama Mbarouk Khatib 8-11-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya picha ya kuchora na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Zahro Mattar Masoud, wakati wa Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wake, yaliyofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba 8-11-2022.
  • BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakishangilia na kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wake,yaliyofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba
  • WANANCHI wa Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wake, iliyofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba leo 8-11-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba kuhudhuria Maadhimisho ya kutimia Miaka Miwili ya Uongozi wake 8-11-2022
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi na Viongozi wa Serikali wakati Kikundi cha Taraab cha Wajelajela wakitowa burudani katika Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, iliyofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba 8-11-2022
  • WASANII wa Kikundi cha Mwinyi Mpeku na Mau Fundi wakitowa burudani wakati wa Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi yaliyofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba 8-11-2022.
  • VIONGOZI wa Serikali na Vyama vya Siasa na Wananchi wa Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wake, yaliyofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba
  • WANANCHI wa Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wake, iliyofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba leo 8-11-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wake yaliyofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba 8-11-2022