Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Jopo la Majaji wa Jumuiya ya Ukanda wa Kusini na Mashariki ya Afrika Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake Jopo la Majaji wa Jumuiya ya Ukanda wa Kusini na Mashariki ya Afrika (SEACJF) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-4-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na wageni wake Jopo la Majaji wa Jumuiya ya Ukanda wa Kusini na Mashariki ya Afrika (SEACJF) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-4-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na ujumbe wa Jopo la Majaji wa Jumuiya ya Ukanda wa Kusini na Mashariki ya Afrika (SEACJF) ukiongozwa na Jaji Mkuu wa Eswatini Mhe.Moses Cuthbert Maphalala (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-4-2025 na (kushoto kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya kitabu,kutoka kwa Jaji Mkuu wa Kenya Mhe.Martha Koome, baada ya kumaliza mazungumzo yake ya wageni wake Jopo la Majaji kutoka Jumuiya ya Ukanda wa Kusini na Mashariki ya Afrika (SEACJF) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-4-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na ujumbe wa Jopo la Majaji wa Jumuiya ya Ukanda wa Kusini na Mashariki ya Afrika (SEACJF) ukiongozwa na Jaji Mkuu wa Eswatini Mhe.Moses Cuthbert Maphalala (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-4-2025 na (kushoto kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua awamu ya kwanza ya Uwekezaji wa Sukuki Zanzibar katika viwanja vya Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk .Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa mfano wa hundi wa fedha za Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar, akikabidhiwa na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji,Zanzibar Treasury Sukuk Limited. Dkt. Masoud Rashid Mohammed na Mkurugenzi Muendeshaji Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Arafat Ally Haji,hafla hiyo ya ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhi fedha za SUKUK, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar 29-4-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar, uliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa mfano wa hundi wa fedha za Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar, akikabidhiwa na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji,Zanzibar Treasury Sukuk Limited. Dkt. Masoud Rashid Mohammed na Mkurugenzi Muendeshaji Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Arafat Ally Haji,hafla hiyo ya ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhi fedha za SUKUK, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025.
BAADHI ya Viongozi wa Serikali Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na Kukabidhi Fedha za SUKUK, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025
WAGENI waalikwa katika hafla ya ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhiwa Fedha SUKUK, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa hafla hiyo ya ufungaji iliyofanyika leo 29-4-2025
BAADHI ya Viongozi wa Dini Zanzibar wakihudhuria Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhi Fedha za SUKUK, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025
WAGENI waalikwa katika hafla ya ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhiwa Fedha SUKUK, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa hafla hiyo ya ufungaji iliyofanyika leo 29-4-2025
WAGENI waalikwa katika hafla ya ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhiwa Fedha SUKUK, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa hafla hiyo ya ufungaji iliyofanyika leo 29-4-2025
WAGENI waalikwa katika hafla ya ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhiwa Fedha SUKUK, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa hafla hiyo ya ufungaji iliyofanyika leo 29-4-2025
WAFANYAKAZI wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na Kukabidhi Fedha za SUKUK, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025
BAADHI ya Viongozi wa Dini Zanzibar wakihudhuria Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhi Fedha za SUKUK, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025
WAKUU wa Wilaya Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na Kukabidhi Fedha za SUKUK, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025
Rais wa Zanzibar Mgeni Rasmin Mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu Cha Abdulrahaman Al- Sumait Chukwani Zanzibar leo 25-1-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Bora wa “Bachelor Degree of Science Biology and Chemistry” Aisha Said Ali, wakati wa hafla ya Mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Chukwani Zanzibar, mahafali hayo yaliyofanyika leo 25-1-2025 katika viwanja vya Chuo hicho Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya Mahafali ya 24 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 25-1-2025 katika viwanja vya Chuo hicho Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akisoma ratiba wakati wa hafla ya Mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar, yaliyofanyika leo 25-1-2025 katika viwanja vya Chuo hicho Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar, Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Abeid Karume na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu cha Abdulraham Al-Sumait Chukwani Zanzibar, yaliyofanyika leo 25-1-2025 katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu cha Abdulraham Al-Sumait Chukwani Zanzibar, yaliyofanyika leo 25-1-2025 katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi,ni mgeni rasmin katika Mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar, akielekea katika viwanja vya Chuo hicho kwa ajili ya mahafali hayo, akiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Abeid Karume, yaliyofanyika leo 25-1-2025
WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar, wakiwa katika maandamano wakielekea katika viwanja vya Chuo hicho kwa ajili ya Mahafali ya 24 yaliyofanyika leo 25-1-2025 katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi, ni mgeni rasmin katika Mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar, akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Abeid Karume, alipowasili katika viwanja vya Chuo hicho kwa ajili ya Mahafali yaliyofanyika leo 25-1-2025
WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar, wakiwa katika maandamano wakielekea katika viwanja vya Chuo hicho kwa ajili ya Mahafali ya 24 yaliyofanyika leo 25-1-2025 katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
WAGENI waalikwa na Wanafamilia ya Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya Mahafali ya 24 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 25-1-2025 katika viwanja vya Chuo hicho Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Bora wa “Master of Shariah and Islamic Jurisprudence” Ali.S.Maalim, wakati wa hafla ya Mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Chukwani Zanzibar, mahafali hayo yaliyofanyika leo 25-1-2025 katika viwanja vya Chuo hicho Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na Wananchi katika sala ya Ijumaa Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 24-1-2025, katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Wilaya ya Mjini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi,baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 24-1-2025, katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Wilaya ya Mjini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Imamu Mkuu wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Sheikh. Salum Hemed Salum, alipowasili katika viwanja vya msikiti huo kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 24-1-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi(kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Wilaya ya Mjini Unguja leo 24-1-2025 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 24-1-2025, katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Wilaya ya Mjini Unguja
Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokewa na mamia ya wananchi na Wanachama wa CCM Zanzibar.
Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk , Hussein Ali Mwinyi akivishwa shada la maua wakati alipowasili katika kiwanja cha Ndege cha Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Dodoma alipoteuliwa Kupeperusha Bendera ya Chama hicho katika Uchaguzi Mkuu Ujao katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Uliofanyika hivi Karibuni.
Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk , Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na wanachama wa chama cha Mapinduzi,wananchi pamoja na wanafunzi mbali mbali waliojipanga pembezoni mwa barabara kwa ajili ya kumlaki baada ya kutoka mjini Dodoma alipoteuliwa kugombea Urais wa zanzibar kwa mara ya pili mfululizo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi.
Wanafunzi mbali mbali waliofika kumlaki Mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi akitokea Jijini Dodoma ambapo ameteuliwa kugombea nafasi hiyo.
Wanachama wa chama cha Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika kiwnja cha ndege cha Abeid Amani Karume Zanzibar wakimlaki Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi alipowasili katika kiwanja hicho akitokea jijini Dodoma ambapo amaeteuli kugombea nafasi hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharib Unguja Mheshimiwa Idrisa Kitwana Mustafa akitoa salamu zake za Mkoa kwa Mheshimiwa rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ambae pia na mgombea wa Urais wa zanzibar kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi Zanzibar hapo katika viwanja vya Kisonge Michezani zanzibar.
Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk , Hussein Ali Mwinyi akiwa katika gari la wazi akiwasalimia wananchi waliofika kumpokea kando kando mwa barabara ya kutokea Uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume jijini Zanzibar akitokea Jijini dodoma ambapo ameteuliwa kuipeperusha bendera ya Chama cha mapinduzi kwa upande wa Zanzibar.