Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Viwanja vya Michezo vya Matumbaku Spotrs Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kufungua Viwanja vya michezo vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 30-12-2023, ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kufungua Viwanja vya michezo vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 30-12-2023, ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
VIJANA wa Sarakasi wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar wakionesha umahiri wa mchezo huo wakati wa hafla ya ufunguzi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hafla ya ufunguzi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati wa ufunguzi huo uliofanyika 30-12-2023, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
WAGENI waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa viwanja vya michezo vya Matumbaku Spotrs Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua uwanja huo 30-12-2023 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
WAFANYAKAZI wa Mfuko wa Hifadh ya Jamii Zanzibar (ZSSF) wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Viwanja vya Matumbaku Spotrs Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua uwanja huo 30-12-2023 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipuriza kifirimbi kuazisha mchezo wa kirafiki wa Ufunguzi wa Viwanja vya Michezo vya Matumbaku Spotrs Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, kati ya Timu ya Karume Boys U-15 na Timu ya ZSSF,mchezo uliofanyika baada ya kufunguliwa kwa Uwanja huo leo 30-12-2023, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF Ndg.Nassor Shaban,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Ali Suleiman Ameir (Mrembo) wakifuatili mchezo huo wa ufunguzi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Viwanja vya Michezo vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum (kushoto) na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 30-12-2023