State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameipongeza Timu ya Karume Boys na kujumuika na Wachezaji katika Dhifa Maalum aliyowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa Dhifa Maalum ya chakula maalum alichowaandaliwa Wachezaji wa Timu ya Karume Boys U-15 kwa ushindi wa Ubingwa wa Kombe la CECAFA U-15 kwa kuifunga Timu ya Taifa ya Uganda u-15 katika mchezo wa Fainali uliofanyika Nchini Uganda wiki iliyopita, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-11-2023

  • WACHEZAJI wa Timu ya Karume Boys U-15 wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwapongeza kwa kuchukua Ubingwa wa Kombe la CECAFA U-15, katika mchezo wa fainali na Timu ya Uganda uliyofanyika Nchini Uganda wiki iliyopita, wakati wa dhifa maalum ya chakula na kuwapongeza iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-11-2023
  • BAADHI ya Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wadau wa michezo Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwapongeza Wachezaji wa Timu ya Karume Boys U-15 kwa Ushindi wa Ubingwa wa Kombe la CECAFA U-15 kwa kuifunga Timu ya Uganda katika mchezo wa Fainali ya Michuano ya CECAFA U-15 Iiliyofanyika Nchini Uganda wiki iliyopita
  • Karume Boys Mabingwa wa Kombe la CECAFA U-15 kwa mwaka 2023-2024 wakiwa na Kombe lao la Ubingwa na Viongozi wa ZFF (kushoto ) Rais wa ZFF Suleiman Mahamoud Jabir wakiwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja hivyo kwa ajili ya kujumuika na Wachezaji katika chakula maalum alichowaandalia leo 20-11-2023
  • VIONGOZI wa Serikali wakiwa katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar wakihudhuria dhifa maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa ajili ya kuwapongeza Wachezaji wa Timu ya Karume Boys U-15 iliyotowa Ubingwa wa CECAFA U-15 katika mchezo wa Fainali na Timu ya Taifa ya Uganda U-15 uliofanyika wiki iliyopita Nchini Uganda kwa ushindi wa bao 4-3