State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameufungua Mkutano wa Kimataifa wa IDA 20

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini ya Muda,Wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya Dunia (IDA20) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 6-12-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa mkutano katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 6-12-2023, akimsikiliza Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Mhe. Dkt. Mwinguli Nchemba akizungumza,wakati wa Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini ya Muda,Wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya Dunia (IDA20) na (kulia kwa Rais) Rais wa Benki ya Dunia Mhe. Ajay Banga na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini ya Muda,Wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya Dunia (IDA20) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 6-12-2023
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini ya Muda Wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya Dunia (IDA20) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 6-12-2023, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa mkutano wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Jijini Zanzibar wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini ya Muda ,Wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya Dunia (IDA 20) na (kulia kwa Rais) Rais wa Benki ya Dunia Mhe. Ajay Banga na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 6-12-2023, kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini ya Muda ,wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya Dunia (IDA 20) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, na (kulia kwa Rais) Rais wa Benki ya Dunia Mhe. Ajay Banga na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Mhe.Dkt. Mwingulu Nchemba na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais wa Benki ya Dunia Mhe.Ajay Banga, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 6-12-2023, kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini ya Muda wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya Dunia (IDA20) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum