State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezindua Mpango Mkakati wa ZMBF na Mradi wa Tumaini KIT

 • MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizundua Mradi wa Tumaini Kit, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo,20-3-2023 na (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia uzinduzi huo
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi TUZO maalum na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, wakati wa Uzinduzi wa Mpango Mkakati wa ZMBF na Uzinduzi wa Mradi wa Tumaini Kit, katika Mkutano wa Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya (ZMBF) uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 20-3-2023.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungua Mpango Mkakati wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZBMF) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023, (kulia) Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maria Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisin ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Masoud Ali Mohammed.
 • MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizundua Mradi wa Tumaini Kit, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo,20-3-2023 na (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia uzinduzi huo.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha Kitabu cha Mpango Mkakati wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) baada ya kuizindua leo 20-3-2023. Katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magaribi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe.Masoud Ali Mohammed na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah.
 • BAADHI ya Mabalozi Wadogo wanaofanyia kazi zao Zanzibar, wakifuatulia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) na Uzinduzi Mpango Mkakati na Mradi wa Tumaini Kit, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023
 • WAGENI Waalikwa na Viongozi wa Vikundi vya Wajasiriamali Wanawake Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) na Uzinduzi wa Mpango Mkakati na Mradi wa Tumaini Kit, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023.
 • MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi yake na Uzinduzi wa Mpango Mkakati wa (ZMBF) na Uzinduzi wa Mradi wa Tumaini Kit, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023.
 • BAADHI ya Wake wa Viongozi Wakuu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) na Uzinduzi Mpango Mkakati wa (ZMBF) na Mradi wa Tumaini Kit, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023.
 • BAADHI ya Wake wa Viongozi Wakuu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) na Uzinduzi Mpango Mkakati wa (ZMBF) na Mradi wa Tumaini Kit, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi ambae ni Mwenyetiki wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohammed na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana, wakimsikiliza Mjasiriamali wa Kikundi cha Wanawake cha Zainat cha Chukwani.Bi.Farida Juma Suleiman, wakati akitembelea maonesho ya Wajasiriamali mbalimbali wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mpango Mkakati na Mradi wa Tumaini Kit pamoja na kuadhimisha Mwaka Mmoka wa Taasisi ya (ZMBF) Iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 20-3-2023
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa Kikundi cha Wanawake Wajasiriamali cha Ukweli Njia Safi cha Bwelo. Bi. Zainab Hassan, wanaotengeneza Bidhaa za Mwani, wakati akitembelea maonesho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023, kabla ya kuzindua wa Mpango Mkakati na Mradi wa Tumaini Kit na Mkutano wa Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Zanzibar Maisha Bora Foundation. (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
 • WAGENI Waalikwa na Viongozi wa Vikundi vya Wajasiriamali Wanawake Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) na Uzinduzi wa Mpango Mkakati na Mradi wa Tumaini Kit, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023