Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi atembelea Bandari ya Maputo Msumbiji 8-9-2024
08 Sep 2024
16
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mtambo wa kubebea na kushusha mizigo katika Meli Bandari ya Maputo Msumbiji, wakati wa ziara yake kutembelea Bandari hiyo leo 8-9-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi wa Jamhuri ya Watu wa Msumbiji Dk.Mateus Magala, wakati wa ziara yake kutembelea Bandari ya Maputo Msumbiji leo 8-9-2024, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mtambo wa kubebea na kushusha mizigo katika Meli Bandari ya Maputo Msumbiji, wakati wa ziara yake kutembelea Bandari hiyo leo 8-9-2024