State House Blog

Swala ya Ijumaa Msikiti wa Miembeni Zanziubar

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika msikiti wa Ijumaa Miembeni Jijini Zanzibar kushiriki katika Ibada ya swala liyofanyika 27/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiagana na Wananchi na Vingozi mara baada ya kushiriki katika Ibada ya Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa katika Msikiti wa Ijumaa Miembeni Jijini Zanzibar 13/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) pamoja na Viongozi wengine na Waumini mbali mbali wakiitikia dua iliyoombwa baada ya Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Msikiti wa Ijumaa Miembeni Jijini Zanzibar 13/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiagana na Wananchi na Vingozi mara baada ya kushiriki katika Ibada ya Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Msikiti wa Ijumaa Miembeni Jijini Zanzibar 13/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha na Watoto wa Mtaa wa Miembeni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo mara baada ya kushiriki katika Ibada ya Swala ya Ijumaa 13/01/2023.