State House Blog

UJUMBE WA MAKAMU MWENYEKITI MTENDAJI WA SHIRIKISHO LA VIWANDA NA BIASHARA KUTOKA CHINA

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda na Biashara la China Bw.Xu Lejiang wakati wa mazungumzo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo pamoja na Ujumbe aliofuatana nao
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda na Biashara la China Bw.Xu Lejiang wakati wa mazungumzo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo pamoja na Ujumbe aliofuatana nao
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na ujumbe wa Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda na Biashara la China walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na ujumbe wa Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda na Biashara la China walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na ujumbe wa Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda na Biashara la China Bw.Xu Leijiang (wa pili kulia) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar