Kazi kubwa ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ni kuhakikisha kinashinda Uchaguzi Mkuu.
MAKAMO Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa kazi kubwa ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia Shina hadi Taifa ni kuhakikisha chama hicho kinashinda uchaguzi…
Read More