Dk.Hussein Ali Mwinyi ameupongeza Umoja wa Mataifa (UN),kwa azma yake ya kuendelea kuiunga mkono Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza Umoja wa Mataifa (UN), kwa azma yake ya kuendelea kuiunga mkono Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika…

Soma Zaidi

Serikali imeamua kubadili matumizi mashamba ya mpira yalioko Kichwele na Selem na kuwa ‘maeneo ya viwanda’

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali imeamua kubadili matumizi mashamba ya mpira yalioko Kichwele na Selem na kuwa ‘maeneo ya viwanda’…

Soma Zaidi

SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China imepongezwa kwa kuendeleza utamaduni wake wa kuiunga mkono Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China imepongezwa kwa kuendeleza utamaduni wake wa kuiunga mkono Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuimarisha sekta za maendeleo ikiwemo mikakati iliyowekwa…

Soma Zaidi