RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya picha ikionesha mandhari ya Mji Mkongwe wa Zanzibar, mmoja wa mwana familia ya Kifalme ya Qatar Sh
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya picha ikionesha mandhari ya Mji Mkongwe wa Zanzibar, mmoja wa mwana familia ya Kifalme ya Qatar Sheikh Mohammad bin Mansour bin Jabor bin Jassim Al Thani, baada ya kumalizika kwa hafla ya utiaji wa Saini ya Makubaliano ya Ushirikiano wa Utekelezaji wa Miradi ya Kimkakati ya Kiuchumi katika Sekta mbalimbali, baina ya Qatar na Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-8-2025