Dk.Shein ameutaka Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo kuongeza kasi ya Majukumu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameutaka Uongozi na watendaji wa Wizara ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuongeza kasi katika kipindi hiki kifupi…

Read More

Dk.Shein amesisitiza Ujenzi wa Hospitali mpya ya Binguni uko pale pale

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesisitiza kwamba uwamuzi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wa mradi wa Ujenzi wa Hospitali mpya ya Binguni uko…

Read More

Dk.Shein amewataka Vijana kutojiingiza katika vitendo vinavyoweza kuvunja amani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka baadhi ya watu wakiwemo vijana kutojiingiza katika vitendo vinavyoweza kuvunja amani na utulivu nchini kwa…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa ameshika mfuko ukiwa na Unga wa Shelisheli, wakati akitembelea banda la maonesho la Jumuiya ya Usarivu Mazao Zanzibar katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni

DK. SHEIN AMEFUNGUA MAONESHO YA KILIMO YA NANENANE VIWANJA VYA CHAMANANGWE PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameitaka Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi kuweka kipaumbele katika kufanya tafiti zinazohusiana na sekta…

Read More

Dk.Shein ameitaka Wizara ya Kilimo kufanya Tafiti zinazohusiana na Wizara hiyo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameitaka Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi kuweka kipaumbele katika kufanya tafiti zinazohusiana na sekta…

Read More

Dk. Shein amewataka Wananchi waendelee kushirikiana

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi waendelee kushirikiana ili wahakikishe kwamba uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka…

Read More