Baadhi ya Wananchi wa Vijiji mbali mbali vya Wilaya ya Kaskazini "A"Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiwa katika sherehe za
Maadhimisho ya kutimia Miaka 5 ya kuanzishwa kwa Kituo hicho cha Wanawake (BAREFOOT COLLEGE ZANZIBAR) katika hafla iliyofanyika leo Kinyasini Mkoa wa
Kaskazini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Balozi Mdogo wa India Mhe. Baaguans SIGH alipokuwa akitoa salamu zake katika sherehe za Maadhimisho ya kutimia Miaka 5 ya
kuanzishwa kwa Kituo hicho cha Wanawake (BAREFOOT COLLEGE ZANZIBAR) katika
hafla iliyofanyika leo Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali
Mohamed Shein (kushoto) akifungua pazia kama ishara ya kulifungua Jengo la Dahalia la Kituo cha Wanawake cha Kufundishia Utengenezaji wa Vifaa vya Umeme wa Jua katika sherehe za Maadhimisho ya kutimia Miaka 5 ya
kuanzishwa kwa Kituo hicho cha Wanawake (BAREFOOT COLLEGE ZANZIBAR) katika
hafla iliyofanyika leo Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja,(kulia) Waziri wa Kazi,Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Mhe. Maudline Cyrus Castico
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali
Mohamed Shein akiangalia bidhaa mbali mbali zilizotengenezwa na wanakikundi cha Barefoot College wa Kinyasini Unguja wakati wa Maadhimisho ya kutimia Miaka 5 ya kuanzishwa kwa Kituo hicho Wanawake ambacho kinatengeneza Vifaa vya Nishati ya Umeme wa Jua,hafla iliyofanyika leo Kinyasini Mkoa wa kaskazini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata Utepe kama ishara ya kulifungua
Jengo la Dahalia la Kituo cha Wanawake cha Kufundishia Utengenezaji wa Vifaa vya Umeme wa Jua katika sherehe za Maadhimisho ya kutimia Miaka 5 ya
kuanzishwa kwa Kituo hicho cha Wanawake (BAREFOOT COLLEGE ZANZIBAR) katika
hafla iliyofanyika leo Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja,(kulia) Waziri wa Kazi, Uwezeshaji,Wazee, Wanawake na Watoto Mhe. Maudline Cyrus Castico
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali
Mohamed Shein (kushoto) akiangalia Asali wakati alipotembelea maonesho ya
bidhaa mbali mbali zilizotengenezwa na wanakikundi cha Barefoot College wa
Kinyasini Unguja wakati wa Maadhimisho ya kutimia Miaka 5 ya kuanzishwa kwa Kituo hicho cha Wanawake ambacho kinatengeneza Vifaa vya Nishati ya Umeme wa Jua,katika hafla iliyofanyika leo Kinyasini Mkoa wa kaskazini,(kulia) Afisa Mradi Nd,Marisanga Waziri
Maadhimisho ya miaka 5 ya Kituo cha Barefoot Zanzibar Kinyasini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali
Mohamed Shein (kushoto) akipokea ZAWADI maalum kutoka kwa * Waziri wa Kazi,Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Mhe.Maudline Cyrus Castico katika sherehe za Maadhimisho ya kutimia Miaka 5 ya kuanzishwa kwa Kituo hicho cha Wanawake (BAREFOOT COLLEGE ZANZIBAR) katika hafla iliyofanyika leo Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja