Viongozi na Masheikh wa Jumuiya ya Khoja Shia Ithna-asheir wa kutana na Mhe. Dk.Shein

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa nia na malengo ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuimarisha sekta ya elimu ni makubwa…

Read More

Dk.Shein amewapisha viongozi mbali mbali katika taasisi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amewapisha viongozi mbali mbali kushika nyadhifa katika taasisi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Walioapishwa…

Read More

Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Tanzanzia afanya mazungumzo na Mhe. Dk. Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Tanzanzia Mhe,Song Geum-Young alipofika Ikulu Mjini Zanzibar…

Read More

Mhe.Dk.Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbali mbali

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-

Read More

NEC yamkabidhi Ripoti ya Uchaguzi Rais wa Jamhuri ya Mkuungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli

Baadhi ya Mawaziri na Viongozi wengine wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Mkuungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli alipokuwa akitoa hutuba yake mbele ya viongozi hao na waalikwa wakiwepo mabalozi…

Read More

Balozi wa Afrika ya Kusini katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amtembelea Mhe.Dk.Shein,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Afrika ya Kusini katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Thamsanga Dennis Msekelu…

Read More