Ushindi wa CCM umetokana na umoja na ushirikiano kati ya wanachama na viongozi wa chama

WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kisiwani Pemba wameeleza kuwa ushindi wa chama hicho katika uchaguzi mkuu uliopita umetokana na umoja na ushirikiano kati yao na viongozi wa chama hicho…

Read More

Dk.Shein ziarani Pemba kuwashukuru wanachama wa CCM kwa ushindi waliompatia

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na wanachama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Chakechake Pemba…

Read More

Dk. Ali Mohamed Shein ziarani Muungano wa Visiwa vya Comoro.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein anaondoka leo jioni kwenda Muungano wa Visiwa vya Comoro kwa ziara ya siku mbili.

Read More

DK.Shein awaapisha Wakuu wa Mikoa na Wilaya.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao aliwateua hapo jana.Walioapishwa ni Mheshimiwa Ayoub Mohamed Mahmoud…

Read More

Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kama ifuatavyo:

Read More

Wazazi ungeni mkono jitihada za Serikali kuimarisha michezo kwa Vijana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amezindua mashindano ya Shirikisho la Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar (ZAHILFE) na kusisisitiza dhamira…

Read More

Mheshimiwa Issa Haji Ussi Gavu, ametuma salamu za rambi rambi kufatia kifo cha Balozi mdogo wa Oman

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe. Issa Haji Ussi Gavu, amemtumia salamu za rambi rambi kwa Waziri anayeshughulikia Mambo ya Nje wa Oman Mhe. Yusuf bin Alawi…

Read More