Wananchi walioathirika na mvua za masika wamehakikishiwa hakuna atakae kaa na njaa .
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar itahakikisha inawapelekea huduma zote muhimu wananchi waliaothirika na mvua za masika na hakuna hata mwananchi mmoja miongoni mwao atakae kaa na njaa kwa kukosa…
Read More