Dk.Shein amewasili mjini Dodoma kuhudhuria Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewasili mjini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Katika uwanja…

Read More

Dk.Shein Amempongeza Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za pongezi Rais wa Misri, Abdel Fattah El-Sisi kwa ushindi mkubwa alioupata kufuatia uchaguzi Mkuu…

Read More

UTEUZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na   Makamo wa Rais wa Shirika la Ndege la Misri EGYPTAIR Bw.Mohamed Alabbady alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na  Ujumbe aliofuatana nao

DK.SHEIN AMEKUTANA NA MAKAMO WA SHIRIKA LA NDEGE LA MISRI EGYPTAIR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza azma ya Shirika la Ndege la Misri (Egyptair) ya kuanzisha safari zake kati ya Misri na Zanzibar hatua ambayo…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akipokea Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa kipindi cha miaka mitano (ZEC) kutoka kwa Mhe.Jecha Salim Jecha alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.

TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR (ZEC) KUONANA NA RAIS DK.SHEIN.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kwa kutekeleza vyema majukumu yake ndani ya miaka mitano kwa kuendesha…

Read More

Uzinduzi wa Chanjo mpya dhidi ya maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi.

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein amesema kuwa kuanzishwa kwa Chanjo mpya ya maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi itatokomeza maradhi hayo kama yalivyotokomezwa maradhi…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimsikiliza  Mwenyekiti wa Kampuni ya

Dk. Shein Amekutana na Ujumbe wa Kampuni ya Kushan Asia Aroma Cooperation Limited Kutoka China

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Kampuni ya ‘Kunshan Asia Aroma Cooperation Limited” kutoka nchini China kwa uamuzi wake wa kuja kuekeza…

Read More

Dk.Shein ameongoza hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Karume

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein leo ameongoza hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliyofanyika…

Read More