Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha wageni alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguj

MKUTANO WA MABALOZI WA WILAYA YA KUSINI UNGUJA

MAKAMO Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amekutana na Mabalozi wa Wilaya ya Kusini Unguja katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari Makunduchi na kutumia fursa hiyo kuwaeleza majukumu…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi piaMakamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ramadhan Abdalla Ali (kichupa) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa

MKUTANO WA MABALOZI WA WILAYA YA KATI UNGUJA

MAKAMO Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa CCM inaendelea kutekeleza Ilani yake ya Uchaguzi ya mwaka 2015-2020 na kuwahakikishia wananchi kuwa Serikali ya Mapinduzi…

Read More

Dk.Shein amezungumza na Mabalozi wa Wilaya ya Micheweni na Chake Chake Pemba.

MAKAMO Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amewahakikishia Mabalozi wa Wilaya ya Micheweni kuwa CCM itashinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2020 kwani hakuna mbadala wa…

Read More

Kazi kubwa ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ni kuhakikisha kinashinda Uchaguzi Mkuu.

MAKAMO Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa kazi kubwa ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia Shina hadi Taifa ni kuhakikisha chama hicho kinashinda uchaguzi…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Viongozi wengine wakinyanyua mikono juu wakati wakiimba wimbo maaluma wa mshikamano katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika

SIKU YA KILELE CHA WAFANYAKAZI DUNIANI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuwachukulia hatua kali wawekezaji au waajiri wote wanaokwenda…

Read More

Dk.Shein amewasili mjini Dodoma kuhudhuria Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewasili mjini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Katika uwanja…

Read More

Dk.Shein Amempongeza Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za pongezi Rais wa Misri, Abdel Fattah El-Sisi kwa ushindi mkubwa alioupata kufuatia uchaguzi Mkuu…

Read More

UTEUZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-

Read More