MAKAMU Mwenyekiti  wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,  akizungumza na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Mwinyi, baada  ya kumalizika kwa hafla ya Ufunguzi wa Kampeni

DK.SHEIN AMEMTAMBULISHA MGOMBEA WA NAFASI YA RAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM.

MAKAMO Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi ni kiongozi mwenye…

Read More

Alhaj Dk.Shein ameongoza mazishi ya Mweyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Amani Kichama

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein leo ameongoza mazishi ya Mweyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Amani Kichama marehemu Juma Khamis…

Read More

Kamati kuu ya Chama imezipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Zanzibar

Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi kilichokaa leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli kimezipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika mkutano wa utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021

DK.SHEIN AMEKUTANA NA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Zanzibar imefanikiwa kupata mafanikio makubwa ya kiuchumi na kijamii kutokana na jitihada na uwezo wa Viongozi…

Read More

Dk.Shein amemtumia pongezi Rais wa Jamhuri ya Watu wa India kwa kuadhimisha miaka 74 ya Taifa hilo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamhuri ya Watu wa India Shri Ram Kovind kwa kuadhimisha miaka 74 tokea Taifa hilo…

Read More

MKOA WA MJINI MAGHARIBI UMETAKIWA KUHAKIKISHA JIJI LA ZANZIBAR KUWA SAFI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameueleza uongozi wa Mkoa wa Mijini Magharibi pamoja na Manispaa yake kuhakikisha mji wa Zanzibar unakuwa safi kwani…

Read More