MWENYEKITI WA Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akipiga
makofi baada ya kuwasili katika katika ukumbi wa mkutano wa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika Mkoani Dodoma leo 19/8/2020, na (kulia kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania.Mhe. Samia Suluhu Hassan.