RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzin Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akijumuika katika Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad S.A.W.yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja

MAULIDI YA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD (S.A.W).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein jana aliwaongoza Waumini wa dini ya Kiislamu pamoja na wananchi mbali mbali katika Maulidi ya kuadhimisha Kuzaliwa…

Read More

DK.SHEIN AMEKUTANA NA RAIS WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINAADAM.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa Zanzibar imeweza kupiga hatua kiuchumi, kijamii na kisiasa kutokana na ushirikiano wa Mihimili yake mikuu…

Read More

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA ZBC REDIO.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameutaka uongozi wa Shirika la utangazaji Zanzibar (ZBC) kuwa na mipango madhubuti ya kuwapatia mafunzo wafanyakazi…

Read More

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI NA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ameeleze azma ya Serikali ya kuliimarisha Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC), pamoja na kuzingatia maslahi mazuri…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimsikiliza Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini Tanzania Mhe.CHO Taeick wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.

DK.SHEIN AMEKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA NCHINI TANZANIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Jamhuri ya Korea kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar na kusisitiza haja ya kuwepo ushirikiano katika sekta…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akijibu suala wakati wa mahojiano na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Zanzibar Ndg,Chande Omar Omar yanayohusu miaka tisa ya Uongozi wake,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Za

MAHOJIANO YA DK.SHEIN NA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuridhishwa na mafanikio makubwa yaliopatikana Zanzibar chini ya uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Saba…

Read More

Dk.Shein ameahidi kuendelea kushirikiana na Wapatholojia wote nchini.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameahidi kuendelea kushirikiana na Wapatholojia wote nchini na kusisitiza haja ya kuwatunza na kuwalea kutokana na…

Read More

Uzinduzi wa Vitambulisho vipya vya Kieletroniki (SMART CARDS) vya Mzanzibar mkaazi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema matumizi ya Vitambulisho vipya vya Mzanzibari mkaazi (smart card) yataiwezesha serikali kuweka na kuhifadhi…

Read More