Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki amtembelea Dk.Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Mhe,Augustino Mahiga alipofika Ikulu Mjini…

Read More

Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China alifika Ikulu mjini Zanzibar kwa ajili ya kuaga

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa uhusiano na ushirikiano mzuri ndani ya miaka 52 kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali…

Read More

Dk.Shein akutana na kuzungumza na watumishi wa vyombo vya habari vya Serikali ya Mapinduzi ya Z’bar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amekutana na kuzungumza na watumishi wa vyombo vya habari vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na kuhimiza ushirikiano…

Read More

Serikali ya Jamhuri ya watu wa China inapongezwa kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa pongezi kwa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta…

Read More

Serikali inawajali Vijana wake.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema Serikali inawajali vijana wake na ndio maana imekuwa kila wakati ikitafuta mbinu na mikakati ya kukabiliana…

Read More

Hakikisheni waliohusika na hujuma wanafikishwa katika vyombo vya Sheria

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amelitaka Jeshi la Polisi na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka kuhakikisha kuwa watu wote waliohusika na vitendo vya…

Read More

Zanzibar hapatakuwa tena na uchaguzi hadi mwaka 2020 na kwa hivi sasa .Dk. Shein yeye ndie Rais.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewaeleza wananchi kisiwani Pemba kuwa Zanzibar hapatakuwa tena na uchaguzi hadi mwaka 2020 na kwa hivi sasa yeye…

Read More