Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya FMSS Bilişim Teknolojia ya Uturuki, Ndugu Cihan Aktaş, pamoja na u
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya FMSS Bilişim Teknolojia ya Uturuki, Ndugu Cihan Aktaş, pamoja na ujumbe wake, waliofika Ikulu Zanzibar leo tarehe 26 Machi 2026.