Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Ndg. Abdi Mahm
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Ndg. Abdi Mahmoud Abdi, alipofika Ikulu Zanzibar kwa lengo la kujitambulisha .na kupokea maelekezo kuhusu utekelezaji wa majukumu yake mapya.