Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, memuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Maryam Seif Hemed, kufuatia uteuzi wake katika nafasi hiyo,hafla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, memuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Maryam Seif Hemed, kufuatia uteuzi wake katika nafasi hiyo,hafla ya uapisho imefanyika leo, tarehe 11 Agosti 2026, Ikulu Zanzibar.