Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza leo, tarehe 30 Juni 2026, katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya PBZ yaliyofanyika Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza leo, tarehe 30 Juni 2026, katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya PBZ yaliyofanyika Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Airport, na kuipongeza benki hiyo kwa mafanikio katika huduma za kidijitali na kuitaka iongeze juhudi ili iwe miongoni mwa benki bora nchini.