Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe: Othman Masoud Othman leo, tarehe 05 Oktoba 2026, katika Viwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe: Othman Masoud Othman leo, tarehe 05 Oktoba 2026, katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar, wakati akiwaapisha Mawaziri na Naibu Mawaziri walioteuliwa kuongoza Wizara mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.