Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimuapisha Mhe Shaaban Ali Otman Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu Anaeshughulikia Mipango na Usimamizi wa Uten
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimuapisha Mhe Shaaban Ali Otman Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu Anaeshughulikia Mipango na Usimamizi wa Utendaji Serikalini kuwa mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar.