Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba maendeleo na ibada haviwezi kufanyika iwapo hapatakuwa na amani.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba maendeleo na ibada haviwezi kufanyika iwapo hapatakuwa na amani.Alhaj Dk. Mwinyi ameyasema hayo…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Blair wa kuiunga mkono Zanzibar kupitia taasisi yake ya Mabadiliko Ulimwenguni.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Blair wa kuiunga mkono Zanzibar kupitia taasisi yake…

Read More