Rais wa Zanzibar na MBLM Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na kuwasalimia, Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Msikiti wa Wirele Kikwajuni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na MBLM Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Msikiti wa Wireless Kikwajuni Jijini Zanzibar mara baada ya Sala ya Ijumaa.