Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Jijini Dodoma.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yatakayofanyika (23.01.2022) hapa…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza matumaini yake makubwa katika kuimarisha mashirikiano kati ya pande mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwa ni pamoja na kukuza sekta ya mawasiliano.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza matumaini yake makubwa katika kuimarisha mashirikiano kati ya pande mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

Read More

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshuhudia utiaji saini mpango mkuu na kufanya utafiti na upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa bandari mpya ya Malindi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshuhudia utiaji saini mpango mkuu na kufanya utafiti na upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa bandari mpya ya…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itazingatia maslahi ya wananchi katika utekelezaji wa mradi mkubwa wa Uwekezaji uliopangwa kufanyika katika eneo la Kizingo, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itazingatia maslahi mapana ya wananchi katika utekelezaji wa mradi mkubwa wa Uwekezaji uliopangwa…

Read More