UTEUZI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua Bwana Suleiman Ahmed Salum kuwa Katibu wa Rais.

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akitoa maelekezo kwa watendaji wa Shirika la Bandari wakati alipotembelea Ghala la kuhifadhia Mizigo Saateni.

DK. MWINYI AMETEMBELEA GHALA LA MIZIGO LA SHIRIKA LA BANDARI SAATENI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka uongozi wa Bandari pamoja na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha kazi za kulitumia ghala jipya la…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali   Mwinyi akitoa maelekezo kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu Shirika la Bandari Ali Haji Haji wakati alipofanya ziara ya hafla kutembelea bandari ya Malindi

DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMETEMBELEA BANDARI YA MALINDI ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar pamoja na eneo la Maruhubi kwa ajili ya kutafuta muwarubaini wa ucheleweleshwaji…

Read More

UTEUZI

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu Namba 55(1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984,

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Haasan Mwinyi akiapa kuongoza Zanzibar kwa awamu ya 8 kuanzia 2020-2025.

SHEREHE ZA KUAPISHWA KWA RAIS WA AWAMU YA NANE YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewapongeza Wazanzibari kote nchini kwa kujitokeza kwa wingi na kutumia vyema haki yao ya kikatiba ya kushiriki…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akipiga kura yake kumchagua Rais wa Tanzania, Rais wa Zanzibar, Wabunge, Wawakilishi na Madiwani, zoezi la upigaji kura lemefanyika leo katika Kituo cha Kupigia Kura Skuli ya

DK.SHEIN AMEPIGA KURA KATIKA KITUO CHA KUPIGIA KURA BUNGI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura na kuwachagua viongozi wanaowataka na wala wasiwe na hofu…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo wakati alipofanya mazungumzo na wafanyakazi wasaidizi wa Rais Ofisi ya Faragha leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar pamoja na kuagana rasmi baada ya kufanyakazi nao

DK.SHEIN AMEWAPONGEZA NA KUWAAGA WAFANYAKAZI WA OFISI YA FARAGHA YA RAIS.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo ameagana na wafanyakazi wake wa Ofisi yake ya Faragha na kuwapongeza kwa kushirikiana nae kwa muda wote wa miaka…

Read More