Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya itafanya bidii katika kuhakikisha inautengeneza Mfuko wa Hijja ili kuwasaidia wale wote wasio na uwezo wa kwenda kufanya ibada ya Hija
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya itafanya bidii katika kuhakikisha inautengeneza Mfuko wa Hijja ili kuwasaidia…
Soma Zaidi