MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amewahakikishia vijana kwamba ataendelea kuwaunga mkono katika kusukuma mbele maendeleo endelevu.

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amewahakikishia vijana kwamba ataendelea kuwaunga mkono katika kusukuma mbele maendeleo endelevu.Mama mariam Mwinyi ameyaswema hayo leo wakati akitoa…

Read More

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameungana na mamia ya wananchi katika maziko ya mwanasiasa maarufu Issa Kassim Issa ‘Baharia’,katika kijiji cha Uroa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameungana na mamia ya wananchi katika maziko ya mwanasiasa maarufu Issa Kassim Issa ‘Baharia’ yaliofanyika…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki katika Semina kuhusu Sensa ya Watu na makaazi ya mwaka 2022.

MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM, ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi alikuwa miongoni mwa Viongozi wakuu wa Chama cha Mapinduzi walioshiriki…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa kutafakari mafanikio na changamoto zilizojitokeza katika kipindi cha miaka 29 tangu mfumo wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa kuanzishwa hapa nchini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa kutafakari mafanikio na changamoto zilizojitokeza katika kipindi cha miaka 29 tangu mfumo…

Read More