Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi mgeni rasmin mashindano ya Kimataifa ya kuhifadhi Quran Zanzibar yaliofanyika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa kufanya mashindano ya kuhifadhi na kusoma Qur’an katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ni fursa nyengine…
Read More