Dk. Hussein Ali Mwinyi alisema Sera ya Uchumi wa Buluu ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ina dhamira njema ya kuimarisha uchumi wa nchi
Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip, Uwanja wa ndege Mkoa wa Mjini Magharibi alipozindua Duru ya kwanza ya utoaji wa vitalu kwa kampuni kwenye maeneo ya bahari kwa…
Read More