News and Events

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inajivunia ushirikiano wake na Wadau wa Maendelo likiwemo Shirika la Umoja wa Mataifa (UNICEF)

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inajivunia ushirikiano wake na Wadau wa Maendelo likiwemo Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Elimu na Watoto diniani, (UNICEF).Rais…

Read More

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itawachukulia hatua za kisheria watumishi kutoka taasisi na mashirika ya Umma walioshindwa kutoa majibu kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itawachukulia hatua za kisheria watumishi kutoka taasisi na mashirika ya Umma walioshindwa kutoa majibu kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali…

Read More

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inajitahidi kupambana maeneo tofauti ili ifanikishe miradi yake iliyoidhamiria kuifanikisha kwaajili ya kuendelea kuwaletea Maendeleo wananchi wake.Rais wa Za

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inajitahidi kupambana maeneo tofauti ili ifanikishe miradi yake iliyoidhamiria kuifanikisha kwaajili ya kuendelea kuwaletea Maendeleo wananchi wake.Rais…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameendelea kusisitiza dhamira yake njema ya kuiunganisha tena Zanzibar kuwa moja yenye amani, upendo, maridhiano na mshikamo.Ameyasema hayo Ikulu, Zanzibar alipozindua tena

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameendelea kusisitiza dhamira yake njema ya kuiunganisha tena Zanzibar kuwa moja yenye amani, upendo, maridhiano…

Read More