RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 18-5-2023 na (kulia kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha ACT-Wazalendo ambae pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman na Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalenzo Mhe. Juma Duni Haji, na (kushoto kwa Rais) Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Mhe. Zitto Kabwe