Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (ZAECA) kujitathmin juu ya utendaji wake, kutokana na kuwepo kwa matukio kadhaa ya Wizi wa mali za Serikali.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Mamlaka ya Kuuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (ZAECA) kujitathmin juu ya utendaji wake, kutokana…
Read More