RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman Dr. Hamed Mohd Al Dhawiani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman Dr. Hamed Mohd Al Dhawiani (kulia kwa Rais) alipofia Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 25-8-2022, akiwa na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al-sinawi.