RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Sheikh.Gurudev Sri Sri Ravishankar (kulia kwa Rais) kutoka Bangalore Nchini India akiwa na Ujumbe wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Sheikh.Gurudev Sri Sri Ravishankar (kulia kwa Rais) kutoka Bangalore Nchini India akiwa na Ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2022.