News and Events

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewapongeza waumini wa Msikiti wa ‘Masjid Nabawi’ ulioko maeneo ya Mbuyu Mnene, Mkoa Mjini Magharibi kwa kuwa mfano mwema katika kushiriki masuala mbali mbali ya kijamii

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewapongeza waumini wa Msikiti wa ‘Masjid Nabawi’ ulioko maeneo ya Mbuyu Mnene, Mkoa Mjini Magharibi kwa…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inawahitaji Wawekezaji kutoka Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran, kuja nchini kwa ajili ya kuwekeza katika sekta mbali mbali za Uchumi wa Buluu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inawahitaji Wawekezaji kutoka Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran, kuja nchini kwa ajili ya kuwekeza katika…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Sensa ya Watu na Makaazi 2022 ina mchango mkubwa katika kuimarisha shughuli mbali mbali za sekta ya uchumi wa Buluu hapa nchini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Sensa ya Watu na Makaazi 2022 ina mchango mkubwa katika kuimarisha shughuli mbali mbali za sekta ya uchumi…

Read More